Uza mtandaoni
kwa urahisi na usalama.
Tumia app ya Joposoko kushare bidhaa na wateja kwa urahisi pamoja na kupoka oda na malipo kwa usalama zaidi.
Kwanini utumie Joposoko?
Uza popote, wakati wowote.
Joposoko inakuwezesha kuuza mahali wateja wako wanapotumia
muda wao sana, iwe ni Instagram, WhatsApp, Facebook au
Twitter.
Tumia Joposoko kutangaza bidhaa zako kwa
mamilioni ya watu huku ukibadilisha followers wako kuwa
wateja.
Pokea malipo kwa urahisi na usalama.
Fanya iwe rahisi kwa wateja wako kukulipa kwa njia wapendazo,
iwe kwa M-Pesa, TigoPesa, AirtelMoney, Mastercard, Visa au
Benki. Huku ukibaki kuwa salama salmini.
Hakuna
tena kutapeliwa!
Hakuna tena kushindwa kuuza.
Kamwe usiache pesa ya mteja. Ruhusu wateja wanunune bidhaa kwa kulipia fedha yote ama kulipia kidogo kidogo na wale waaminifu zaidi wanunue sasa, walipia baadae. Chaguo ni lako!
Tangaza mtandaoni kwa urahisi.
Hakuna tena haja ya kuhangaika na matangazo ya Instagram, Facebook na Twitter, Joposoko ipo kwa ajili yako. Ukiwa na Joposoko kazi yako ni kuuza tu, sisi tutakusaidia kutangaza.
Fahamu vyema mahesabu.
Nani kasema "Biashara asubuhi, jioni mahesabu"? Ukiwa na Joposoko kujua mahesabu ni muda wote. Haijalishi iwe umeuza dukani au mtandaoni. Joposoko imerahisisha zaidi.
Ninaitumiaje Joposoko?
Ni rahisi sana kutumia Joposoko, yaani rahisi kama kuhesabu 1, 2, 3
Wasiliana nasi!