Nunua mtandaoni
kwa urahisi na usalama.
Tumia app ya Joposoko kununua bidhaa upendazo kwa kulipia uwezavyo.
Kwanini utumie Joposoko?
Nunua Upendavyo.
Nunua bidhaa uzipendazo kutoka kwenye maelfu ya maduka unayoyapenda na kuyaamini.
Lipia Uwezavyo.
Hakuna tena kushindwa kununua bidhaa upendayo. Ukiwa na Joposoko utachagua kununua kwa kulipia fedha yote au kulipia kidogo kidogo ama nunua sasa kisha ulipie baadae.
Hakuna tena kupigwa.
Ukiwa na Joposoko hakuna tena kuambiwa "Kujua bei njoo DM". Fahamu bei halisi ya kila bidhaa kwa uwazi.
Usalama na Uhakika.
Usiwaze tena kuhusu usalama wa fedha zako au ubora wa bidhaa
ama uhakika wa kupata bidhaa sahihi.
Joposoko
inakuhakikisha unafanya mananuzi salama salmini.
Ninaitumiaje Joposoko?
Ni rahisi sana kutumia Joposoko, yaani rahisi kama kuhesabu 1, 2, 3
Wasiliana nasi!